Rais Samia aongeza saa 24 za uokoaji jengo lililoporomoka Kariakoo

 

Rais Dkt. Samia Samia Suluhu Hassan amemweleza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuongeza saa 24 za uokoaji katika jengo la ghrorofa lililoporomoka Kariakoo, Jijini Dar es Salaam.



Chapisha Maoni

0 Maoni