Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa
kuashiria ufunguzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya
Chief Zulu, Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Mwanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu,
Teofilo Mbunda kuhusu matumizi ya Computer shuleni hapo, Songea mkoani Ruvuma
tarehe 24 Septemba, 2024.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua moja ya
Madarasa ya Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu,
mara baada ya ufunguzi mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiimba
pamoja   na Wanafunzi wa Shule ya Awali
na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu kuhusu matumizi ya Computer
shuleni hapo, Songea mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.




 
 
 
 
 
 
 
 
0 Maoni